Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Naibu Mwakilishi wa Biashara katika
Ofisi ya Rais wa Marekani, Mhe. Balozi Demetrios Marantis, aliyefuatana na
ujumbe wake, wakati walipofika Ofisini kwa Makamu, Ikulu jijini Dar es Salaam,
kwa mazungumzo leo Oktoba 16, 2012.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Mwakilishi wa
Biashara katika Ofisi ya Rais wa Marekani, Mhe. Balozi Demetrios Marantis, aliyefuatana
na ujumbe wake, baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu, Ikulu
jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 16, 2012. Kulia ni Balozi wa Marekani nchini
Tanzania, Alfonso Lenhardt.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Naibu Mwakilishi wa Biashara katika Ofisi ya
Rais wa Marekani, Mhe. Balozi Demetrios Marantis, baada ya mazungumzo yao
yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 16, 2012. Kulia ni Balozi
wa Marekani nchini Tanzania, Alfonso Lenhardt.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Naibu Mwakilishi wa Biashara katika Ofisi ya
Rais wa Marekani, Mhe. Balozi Demetrios Marantis, baada ya mazungumzo yao
yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 16, 2012. Picha na OMR
Toa Maoni Yako:
0 comments: