Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano Mkuu wa mwaka
wa Viongozi wa Takukuru, uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar
es Salaam, leo Oktoba 17, 2012. Mkutano huo unatarajiwa kumalizika kesho.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akiteta jambo na Waziri wa Katiba na Sheria, Mathias
Chikawe, wakati Makamu alipofika kufungua rasmi Mkutano Mkuu wa mwaka wa
Viongozi wa Takukuru, uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es
Salaam, leo Oktoba 17, 2012. Mkutano huo unatarajiwa kumalizika kesho.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akizungumza jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Edward
Hosea, nje ya Ukumbi wa Mlimani City, mara baada ya kufungua rasmi Mkutano Mkuu
wa mwaka wa Viongozi wa Takukuru, uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City,
jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 17, 2012. Mkutano huo unatarajiwa kumalizika
kesho.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru,
Edward Hosea, mara baada ya kufungua rasmi Mkutano Mkuu wa mwaka wa Viongozi wa
Takukuru, uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, leo
Oktoba 17, 2012. Mkutano huo unatarajiwa kumalizika kesho. Picha na OMR
Toa Maoni Yako:
0 comments: