Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib
Bilal akihudhuria Mkutano wa tano wa Viongozi Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu
uliofanyia kwenye Ukumbi wa Commonwealth wa Hotel ya Munyonyo jijini Kamapala jana.
Wengine kutoka kushoto ni Rais Paul Kagame wa Rwanda na Makamu wa Rais wa Sudan, Haji Adamu
yoss0uf (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal
na mkewe Mama Zakia Bilal wakifuatilia matukio mbalimbali wakati wa
kilele cha maadhimisho ya Miaka50 ya Uhuru wa Uganda kwenye Uwanja wa
Kololo, jijini Kampala jana. Wengine kutoka kushoto ni Rais wa
Somalia Hassan Shekhe Mahamoud na Makamu Rais wa Sudan, Bwana Haji
Adam Yusufu.
Rais
Yoweri Museveni wa Uganda akimkaribisha, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania. Dkt. Mohammed Gharib Bilal kwenye sherehe za
maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Uganda zilizofanyika jana kwenye
Uwanja wa Kololo jijini Kampala, Uganda.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gaharib Bilal
(kulia) akibadilishana mawazo na Rais Yoweri Museveni wa Uganda
wakati wa kilele cha maadhimisho ya Miaka 50 yaUhuru wa Uganda.
Sherehe hizo zimefanyika jana katika Uwanja wa Kololo jijini Kampala.
Wanaoonekana nyuma yao ni wake zao, Bibi Janneth Museveni (kulia) na
Mama Zakia Bilal.
Toa Maoni Yako:
0 comments: