Oktoba 7, 2012 ilikuwa ni siku maalum ya Biharusi Mtarajiwa Fadhila Kikula kukabidhiwa jiko na kupewa mawaidha ya hapa na pale kutoka kwa akina mama juu ya namna ya kutunza jiko na nyumba yake kwa ujumla. Siku hii ilikuwa ni ya Kitchen Party.
 Biharusi Mtarajiwa Fadhila Kikula akiwa
katika picha ya pamoja na Mpambe wake ambayepia ni mdopgowake Sheila Kikula
muda mfupi kabla ya kufundwa huko Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam.
Fadhila akiwa katika picha ya pamoja namama zake.
 Keki ilikuwa hivi..
 Ilikuwa ni shangwe
Mama wadogo wakizungumza neno.

Wageni mbalimbali waalikwa walikuwepo.
 Photos: MD Digital Company 0717003/0755373999
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: