Hayati Luteni Kanali (mst) Adam Hussein Mwandu Makwaia, aliyekuwa Mpambe wa Rais wa kwanza wa Tanzania, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere na  Rais wa pili wa Tanzania Alhaj  Ali Hassan Mwinyi.
Hayati Luteni Kanali (mst) Adam Hussein Mwandu Makwaia, akiwa kazini kama  Mpambe wa Rais wa kwanza wa Tanzania, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere na baadaye  Rais wa pili wa Tanzania Alhaj  Ali Hassan Mwinyi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo leo Keko, jijini Dar es salaam, kufuatia kifo cha Luteni Kanali (mst) Adam Hussein Mwandu Makwaia, aliyekuwa Mpambe wa Rais wa kwanza wa Tanzania, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere na Rais Ali Hassan Mwinyi. Marehemu amezikwa leo Septemba 6, 2012 katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ndugu jamaa na marafiki wa Hayati Luteni Kanali (mst) Adam Hussein Mwandu Makwaia leo Septemba 6, 2012 Keko, jijini Dar es salaam.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: