Kamanda Godbless Lema akiongea machache wakati wa uzinduzi wa tawi la CHADEMA jijini London nchini UK. Katika mambo aliyo yaongea ni pamoja na kujitoela kuwa mlezi wa twai la London na kwa kuanzia alikabidhii pesa taslimu dola za kimarekani 200 kwaajili ya kusaidia shughuli za chama.
Mwenyekiti wa tawi la CHADEMA London kamanda Chris Lukosi akimwaga sera zake wakati wa uzinduzi huo.
Kamanda Dr. Alex ambaye ni mweka hazina akimwaga sera zake.
Mwenyekiti wa CHADEMA London kamanda Chris Lukosi akimtambulisha bwana Magabe ambaye ndo moja wapo wa watu walio wezesha tawi la CHADEMA kufunguliwa nchini UK.
Makamu mwenyekiti Liberatus akichukua minutes
Katibu wa vijana Emmanuel Lunyama akimwaga sera
Mwenyekiti akionyesha uzalendo wa chama chake.
Jessica Maduhu Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA tawi la London akimwaga sera zake na kushukuru kwa kuchaguliwa
Magareth katibu wa Baraza la wanawake la CHADEMA tawi la London akiongea machache.
Think Tank Team wa Tawi La CHADEMA London ni hawa wafuatao wanne
Moja wapo wa wanachama wa CHADEMA London akiongea machache.
Chris Chagula (kulia) ambaye ambaye ndo kaimu katibu na katibu mwenezi akirudisha card na jaz ya CCM na kujiunga rasmi na CHADEMA
Chris Chagula akikabidhiwa rasmi kadi yake ya CHADEMA
Jessica akipokea kadi yake ya CHADEMA
Mdau akipokea kadi yake ya CHADEMA.
Kamanda Lema akimkabidhii mwenyekiti Chris Lukosi pesa taslimu dola za kimarekani 200 kwa ajili ya tawi la London.
Ma Kamanda wakibadilishana mawazo
Viongozi na wanachama wa tawi la CHADEMA London katika picha ya pamoja mara baada ya uzinduzi wa Tawi lao.
---
Jana tarehe 7 August 2012, tawi la CHADEMA London lilizinduliwa rasmi. Mgeni rasmi katika hafla hiyo alikuwa kamanda Godbless Lema ambaye pia alijitolea kuwa mlezi wa tawi hilo.
Pamoja na uzinduzi huo uchaguzi wa viongozi mpito ulifanyika na wanachama wapya walijitokeza na kujiandikisha.
Kwa habari zaidi zihusianzo na tawi la CHADEMA London wasiliana na Katibu Mwenezi Kamanda Chris Chagula au Mwenyekiti wa tawi Kamanda Chris Lukosi.
Toa Maoni Yako:
0 comments: