Familia moja inaishi kwa huzuni kubwa, baada ya wana wao Mary Mwangi na Timothy Kirimi kutoweka siku chache tu baada ya kufunga harusi na kuondoka humu nchini kuelekea Zanzibar kusherehekea fungate yao. Juhudi zote za kuwasaka zimegonga mwamba huku Ubalozi wa Tanzania ukichapisha picha za maharusi hao katika gazeti moja nchini Tanzania. Familia hiyo inahofia kuwa huenda maharusi hao waliangamia katika ajali ya meri ya MV. Skaget iliyozama katika Bara Hindi wiki chache zilizopita.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: