Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe akizungumza jukwaani wakati wa ufunguzi wa tamasha hilo la burudani la aina yake alilo liandaa mjini Kigoma na kujulikana kama Leka Dutigite Kigoma All Stars Concert.
Mashabiki
Watu wakishangilia burudani
Diamond akitumbuiza jukwaani wakati wa tamasha hilo mjini Kigoma
Vijana wa kundi la Makomandoo wakitoa burudani.
Wabunge na wasanii wakiwa Jukwaani.
Mbunge wa Kawe (Chadema) Halima Mdee (kushoto) akiwa jukwaani na Mbunge wa Viti Maalum CCM, Ester Bulaya.
Watu wakifuatilia tamasha hilo.
Toa Maoni Yako:
0 comments: