Abdallah Hamis Ambua wengi tunamjua kwa jina la Mjukuu wa Ambua ni Mtangazaji wa kipindi cha Planet Bongo kutoka East Africa Radio & TV leo majira ya saa 9 alasiri amempoteza mwanae wa kwanza wa kiume kuzaliwa. Mtoto huyo ambaye alikuwa na siku moja toka kuzaliwa hiyo jana mchana.

Pole sana kijana Mjukuu wa Ambua, Mwenyezi Mungu awape nguvu ya kuvumilia hayo yalitokea.

Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Marehemu mahali Pema Peponi.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: