Chama cha ODM kimebadilisha katiba yake
kuwaruhusu wanachama wowote kuwania kiti cha urais. Mwafaka huu
ulifikiwa katika mkutano wa baraza kuu la chama hicho. Hapo awali katiba
ilimruhusu kiongozi wa chama Raila Odinga kuwa mgombeaji wa kipekee na
kupelekea aliyekuwa makamu wake musalia mudavadi kukihama chama hicho.
Kiongozi wa chama raila odinga na mwenyekiti henry kosgey walitangaza
kuwa hawataungana kumziba yeyote asikipate kiti cha urais.
Home
Unlabelled
CHAMA CHA ODM KIMEBADILISHA KATIBA YAKE KUWARUHUSU WANACHAMA WOWOTE KUWANIA KITI CHA URAIS
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Natamani na hii sheria ije bongo ili mambo yaende poa...
ReplyDelete