Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba Meli ya Seagul iliyokuwa ikielekea visiwani Zanzibar ikitoka Dar es Salaam imezama muda huu. Meli hiyo ilitoka Dar es Salaam leo saa 7 mchana ikiwa na abiria karibia 200 na kuzama katika eneo la Chumbe jirani na Zanzibar. Mpaka sasa haijafahamika madhara yaliyotokana na ajali hiyo.Mtandao wako utazidi kukupa habari zaidi kuhusiana na tukio hili.
Home
Unlabelled
MELI YA SEAGULL YAZAMA ENEO LA CHUMBE JIRANI NA ZANZIBA, IKIDAIWA KUWA NA IBIRIA ZAIDI YA 200
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments: