Hii salam inanamba maalum 0689 099 444 ambapo ni msaada kwa mtu yeyote mwenye  shida ya kuuliza chochote au akitaka kutoa msaada wowote atawapigia au kuwasiliana wenzetu na REDCROSS ambao wako huko Zanzibar na wengine hapa Dar kutoa msaada wa  haraka kwa ndugu zetu waliothirika na maafa ya ajali ya boti .

Pia kuna akaunti maalum ya Airtel Money ambapo shortcode yake au (jina la fumbo) MAAFA iliyopo chini ya kitengo chetu cha huduma kwa jamii kwaajili ya wasamaria wema kuweza kuwachangia chochote ndugu zetu waliofikwa matatizo ya kufiwa na kupoteza ndugu na mali zao kwenye ajali hiyo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: