Leo hii kama dakika 30 tu zilizopita ametoka kutolewa msichana kwenye lift iliyokuwa imekwama (jina kapuni), na amekaa humo takribani dk 10 - 15, kibaya zaidi huyo dada aliyekuwa amekwama leo (22nd June 2012) ni mara ya tatu anakwamba kwenye lift yalishawahi kumtokea matukio mawili kama hayo huko nyuma.
Ni barabara ielekeayo kiwanda cha cocacola, jengo la kwanza kabisa kushoto kwako ukitokea mwenge mataa kama unaenda kiwandani, jengo linaitwa JOSAM HOUSE, block A, wametengeneza lift wenyewe lakini kila siku inagoma na mbaya zaidi umeme unakuwepo kama kawaida sasa hii ni hatari jamani, ni bora waweke matangazo kuwa lift ni mbovu zisitumike kuliko kuhatarisha maisha ya watu kwa kiasi hiki, maana mtu anakwama humo na hakuna cha AC wala nini joto lile linavyomuumiza na vilift vyenyewe vidogo dogo ni hatari kwa kweli.
Dada alikuwa anagonga mle ndani na kupiga kelele ya kufunguliwa, ndo akaitwa mlinzi akaja na ufunguo, kumfungulia kumbe kakwama katikati haiwezekani kumtoa ikabidi wapande juu wakaizungushe kwa mkono ndo ishuke thn wakaja kumfungulia akatoka, sasa inakuaje kama mtu anayetunza funguo anakuwa hayupo si ni hatari hii jamani, na wala hakuna mtu special tuliyeonyeshwa kuwa likitokea tatizo ni huyu, pia inakuaje kama mida hiyo ni ya jioni watu wengi wasio waaminifu kazini washotoroka hakuna wa kumsaidia.
Iwekeni hii jamani ili kama kuna wengine wenye vilift uchwara kwenye majengo yao iwe tahadhari kwa wengine.
Mdau wa Blog

Toa Maoni Yako:
0 comments: