Wasanii wa kikundi cha Kinoko chenye maskani yake Kinondoni jijini Dar wakitumbuiza jukwaani mbele ya wakazi wa Morogoro waliojitokeza leo kwenye utambulisho wa huduma mpya ya Airtel Jiunge na Supa 5 iliyofanyika kwenye uwanja wa shule ya msingi-Uwanja wa ndege mkoani Morogoro.
 Mkazi wa Morogoro Suleiman Rashid akikabidhiwa simu aina ya sumsung na mmoja wa Maofisa wa Kampuni ya simu za Mikononi ya Airtel,Liginiku Millinga  ikiwa ni sehemu ya zawadi mara baada ya kununua moderm mbili za Airtel 3.75G,wakati wa utambulisho wa promosheni mpya ya huduma ya Airtel Jiunge na Supa 5 iliyofanyika leo kwenye uwanja wa shule ya msingi-Uwanja wa ndege mkoani Morogoro. Airtel Jiunge na Supa 5 Ilizinduliwa kwa mara ya kwanza jijini Dar es Salaam hivi karibuni.Ukitaka kujiunga na huduma hiyo ANDIKA SMS YENYE NENO ‘WIKI’  AU WIKI UTUME KWENDA 15548.
 Wasanii wa kikundi cha Kinoko chenye maskani yake Kinondoni jijini Dar wakionesha umahiri wao wa kucheza mbele ya wakazi wa Morogoro waliojitokeza leo kwenye utambulisho wa huduma mpya ya Airtel Jiunge na Supa 5 iliyofanyika kwenye uwanja wa shule ya msingi-Uwanja wa ndege mkoani Morogoro. Airtel Jiunge na Supa 5 Ilizinduliwa kwa mara ya kwanza jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
 Sehemu ya umati wa watu waliofika kwenye utambulisho wa huduma mpya ya Airtel Jiunge na Supa 5 iliyofanyika kwenye uwanja wa shule ya msingi-Uwanja wa ndege mkoani Morogoro.
Baadhi ya wasanii chipukizi wa muziki wa kizazi kipya a.k.a bongofleva wakishindana kughani wakati wa utambulisho wa huduma mpya ya Airtel Jiunge na Supa 5 iliyofanyika kwenye uwanja wa shule ya msingi- Uwanja wa ndege mkoani Morogoro. . Airtel Jiunge na Supa 5 Ilizinduliwa kwa mara ya kwanza jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: