Leo ni siku ya kuzaliwa kwa mwanadada Lady Jay Dee na ni siku ambayo bendi ya Machozi inawasha moto kupamba usiku huo. Pia Msanii wa Muziki wa Bongoflava Barnaba mzee wa Magume gume ataungana na Lady Jay Dee ikiwa ni mara ya pili tokea amekwenda nchini Afrika Kusini kwenye masomo yake. 
 Lady Jay Dee a.k.a Komando akiwasha moto.
Msanii wa Muziki wa Bongoflava Barnaba mzee wa Magume gume akiwapa watu roho kitu inapenda.




 Sam Machozi akionyesha umahili wake wa kucheza...
 Aha! upande wa vyombo nao haukuwa nyuma...kunogesha mambo...
 Marafiki wa Machozi bendi wakishow love.
 La Familia nao hawakukosa.
 Gabriel Mollel nae hakukosa.
 Mapacha.
 Kifaa kipya ambacho kimepata usajili ndani ya Machozi bendi.  
*Keep refreshing the page mambo yote yanakuja...
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: