Afisa Mkuu Biashara wa Zantel Ahmed Mokhles (katikati) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa ofa ya Isiyo na Kifani inayowawezesha wateja wa Zantel kupiga simu kwa nusu shilingi kwa masaa 24 na kwenda mitandao mingine kwa TSH 2 kwa sekunde siku nzima. Kulia ni Mkurugenzi wa Biashara wa Zantel Zanzibar Mohammed Mussa na aliyeketi kushoto ni Chief Mwakibete Mkurugenzi wa Bigtone LTD wakala mkuu wa Zantel. 
Mkurugenzi wa Biashara wa Zantel Zanzibar Mohammed Mussa akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na viwango vya Umoja ambavyo vinawawezesha wateja wetu walio visiwa vya Zanzibar kuongea kwa robo shilingi kuanzia saa nne usiku hadi saa moja asubuhi. Pembeni mwake ni Afisa Mkuu Biashara wa Zantel Ahmed Mokhles.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: