Afisa Mkuu wa Biashara wa Zantel Ahmed Mokhles (kulia) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya kampuni ya simu za mikononi Zantel kutangaza kuidhamini kipindi cha televisheni cha kitanzania Bongo Star Search 2012 kwenye awamu yake ya sita tokea ianzishwe, ambayo itajuliakana kama 'Epiq Bongo Star Search' (EBSS). Bw. Ahmed Mokhles aliongezea kuwa Zantel inatambua uwezo na nafasi ya vijana katika jamii na ndiyo maana kampuni hiyo imejikita katika kutoa huduma ambzo zinawalenga vijana moja kwa moja na sasa huduma imeandaliwa kwa vijana wa Epiq Nation inayounganiswa na Bongo Search katika kukuza na kuendeleza vipaji ambavyo vijana wa kitanzania wanavyo.
Pia alisema kuwa katika kuboresha shindano hilo mwaka huu Zantel imejumlisha kipengele cha mitindo ambapo wabunifu wachanga watashiriki katika kuwavalisha wanamuziki ambao watatazamwa na wabunifu weledi. Pembeni ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benchmark, Bi. Ritha Poulsen.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benchmark, Bi. Ritha Poulsen akizungumza mbele ya waandishi wa habari (hawapo picha) kuelezea kufurahishwa kwake na kitendo cha kampuni ya simu za mikononi Zantel alivyoidhamini Bongo Star Search kiasi cha zaidi ya Milioni 50. Ritha alisema kuwa ,"Leo ni siku ya kipekee katika historia ya tasnia ya muziki Tanzania, siku ambayo tunazindua rasmi Epiq Bongo Star Search mwaka 2012 huku tukiwa na mdhamini makini na mwenye mtanzamo mpya kwenye tasnia yetu ya Muziki"
Mtangazaji wa Clouds Fm Fetty ambaye alikuwa ni mshereheaji katika hafla fupi ya kutangaza na kuzindua Epiq Bongo Star Search 2012 iliofanyika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Mtangazaji wa Clouds Fm Fetty ambaye alikuwa ni mshereheaji akimkaribisha Afisa Mkuu wa Biashara wa Zantel Ahmed Mokhles kuzungumza na wageni katika hafla fupi ya kutangaza na kuzindua Epiq Bongo Star Search 2012 iliofanyika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Afisa Mkuu wa Biashara wa Zantel Ahmed Mokhles akiongea na kumkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa Zantel Bw. Ali Bin Jarsh pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Benchmark, Bi. Ritha Poulsen kusaini mkataba.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benchmark, Bi. Ritha Poulsen akiongea machache kabla ya kutia saini.
Mtangazaji wa Clouds Fm Fetty ambaye alikuwa ni mshereheaji akitoa neno kabla ya kusaini.
Mkurugenzi Mtendaji wa Zantel Bw. Ali Bin Jarsh pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Benchmark, Bi. Ritha Poulsen wakisaini mkataba huku anayeshuhudia ni Afisa Mkuu wa Biashara wa Zantel Ahmed Mokhles.
Mkurugenzi Mtendaji wa Zantel Bw. Ali Bin Jarsh pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Benchmark, Bi. Ritha Poulsen wabadirishana mkataba.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benchmark, Bi. Ritha Poulsen akimzawadia cheti msanii wa muziki wa kizazi kipya Mwasiti kwa mchango wake mkubwa katika Bongo Star Search.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benchmark, Bi. Ritha Poulsen akimzawadia cheti msanii wa muziki wa kizazi kipya Ditto kwa mchango wake mkubwa katika Bongo Star Search.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benchmark, Bi. Ritha Poulsen akimzawadia cheti msanii wa muziki wa kizazi kipya Amini kwa mchango wake mkubwa katika Bongo Star Search.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Amini akisalimiana na Afisa Mkuu wa Biashara wa Zantel Ahmed Mokhles.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benchmark, Bi. Ritha Poulsen akimzawadia cheti msanii mkongwe wa Muziki wa Mwambao (taarab) Patricia Hilal kwa mchango wake mkubwa katika Bongo Star Search.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benchmark, Bi. Ritha Poulsen akimzawadia cheti msanii wa muziki wa kizazi kipya Recho kwa mchango wake mkubwa katika Bongo Star Search.
Afisa Mkuu wa Biashara wa Zantel Ahmed Mokhles akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Benchmark, Bi. Ritha Poulsen katika picha ya pamoja na msanii nguli wa muziki wa kizazi kipya Dully Sykes kwa mchango wake mkubwa katika Bongo Star Search.
Wageni walioalikwa na mimi pia nilikuwepo.

Mtangazaji wa Clouds Tv, Shadee akifanya mahojiano na mkuu wa kitengo cha mawasiliano Bi. Awaichi Mawalla mara baada ya uzinduzi huo.
Mtangazaji wa Clouds Tv, Shadee akifanya mahojiano na Afisa Mkuu wa Biashara wa Zantel Ahmed Mokhles.
Mtangazaji wa Clouds Tv, Shadee akifanya mahojiano na Mkurugenzi Mtendaji wa Benchmark, Bi. Ritha Poulsen.
Mazungumzo kwa wageni yakiendelea...
Toa Maoni Yako:
0 comments: