Sherehe ya Wazazi kumuaga Binti yao Bi. Joyce Kaitesi mzaliwa wa Nyamkazi Bukoba ambaye anatarajia kufunga ndoa mwishoni  mwa wiki hii jijini Mwanza. Sherehe hii ilifanyika kwenye Ukumbi wa Bukoba Club hakika ilipambwa na kuvutia kwa hali ya juu.
 Bi. Joyce Kaitesi akiingia ukumbini kwa mbwembe na mpambe wake. 
 Kwa mashamsham, ndelemo, bashasha na shangwe za aina yake ndivyo wanavyo ingia ukumbini wapambe wa Bi. Joyce Kaitesi.
Zawadi za kiasili nazo zikiingwa ukumbuni kwa mtindo wa namna yake.

Wakati wa maakuli.
Meza ya maharusi watarajiwa.
Wapambe nao wakipata maakuli. Picha/BukobaWadau Blog.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: