Mkurugenzi wa Clouds Media ambaye pia ni mwanzilishi wa kituo cha Tanzania House of Talent (T.H.T), Rugemalila Mutahaba (kushoto) akiimbiwa na mratibu wa mradi wa Zinduka, Mama Sadaka Gandi, wafanyakazi pamoja wa vijana wa T.H.T kumpongeza siku ya kuzaliwa kwake. Hafla hiyo fupi imefanyika katika ofisi za T.H.T zilizopo Leaders Club jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi wa Clouds Media ambaye pia ni mwanzilishi wa kituo cha Tanzania House of Talent (T.H.T), Rugemalila Mutahaba akitoa neno la shukurani mara baada ya kukabidhiwa keki.
 ...hapa alikuwa akikata keki.
 ...akimlisha Mkurugenzi wa mradi wa Zinduka nchini Tanzania Rebeka Young. 
 ...akimlisha mratibu wa mradi wa Zinduka, Mama Sadaka Gandi.
 ...akimlisha mwakilishi wa kikundi cha madancer.
 ...mara baada ya kulishwa aliomba kupigiwa makofi.
 ... akilishwa mwakilishi wa 69 record.
...akilishwa mwakilishi wa Odama Band.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: