Uongozi wa Kajunason Blog pamoja na wafanyakazi wake wanakupongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein kwa kutimiza miaka 48 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, ambayo leo Tanzania.
Uongozi wa Kajunason Blog na wafanyakazi wake wote unawapapongezi za dhati.
Imetolewa na mkurugenzi wa Kajunason Blog;
C.A. Kajuna.
Mungu ubariki Muungano,
Mungu ibariki Tanzania.
Toa Maoni Yako:
0 comments: