Mchekeshaji wa kundi la Orijino Komedy, Mpoki akimchambua msanii wa muziki wa kizazi kipya Ommy Dimpoz.
 Wasanii wa muziki wa kizazi kipya Amini akiwa na Barnaba wakiwa pamoja na msanii wa muziki wa Bendi Charles Baba.  Kundi hili walikuwa wanajiita Sikinde.
 Kwakweli waliimba vizuri sana na kufanya wageni walikokuwa wamehudhuria kusherekea.
 Mtu nyomi ukumbini.
 Wanahabari wakiwajibika japo kiukweli walichukia utaratibu wa waandaaji kwa kuwatenga waandishi wa habari kuwaweka eneo ambalo hawakustahili kuwepo.
 Watu kibao walihudhuria.
Meneja wa Tip Top Connection, Babu Tale akiwa tuzo ya wimbo bora wa mwaka uitwao Hakunaga  wa Sumalee na pia aliibuka na tuzo ya wimbo bora wa Afro Pop.
Meneja wa Tip Top Connection, Babu Tale akiwashukuru mashabiki wa Sumalee kwa kumpigia kura.
Mwakilishi wa msanii wa muziki wa kizazi kipya, Ben Paul ambaye aliibuka na tuzo ya wimbo bora wa R&B uitwao My number One Fun.
 Msanii Roma kikabidhiwa tuzo yake ya Msanii bora wa Hip Hop, ambapo pia aliibuka na tuzo ya wimbo bora wa hip hop uitwao Mathematics.
Msanii kutoka THT, Rachael akitumbuiza usiku huu.
Msanii Dyana akiimba kwa hisia jukwaani.
Msanii Dyana akiimba kwa hisia.
 Huyu mzungu ni balaa, liimba wimbo wake wa Tanesco msizime umeme pia aliimba wimbo wa mwanadada Lady Jaydee Siri yangu.

Chambua kama karangaaaaa, ndivyo ambavyo msanii wa muziki wa kizazi kipya Queen Darleen na madansa wake mara baada ya kupokea tuzo ya wimbo bora wa ragga/dance hall

 Wasanii mahiri katika Maigizo a.k.a vichekesho, Mzee King Majuto na Sharobalo Men
 Wasanii mahiri katika Maigizo a.k.a vichekesho, Mzee King Majuto na Sharobalo Men wakimkabidhi Ommy Dimpoz tuzo yake ya Msanii bora anayechipukia na pia amenyakua tuzo ya wimbo bora wa kushirikiana.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond akimpongeza msanii mwenzake Ommy Dimpoz mara baada ya kupokea tuzo yake ya Msanii bora anayechipukia na pia amenyakua tuzo ya wimbo bora wa kushirikiana na kufanya apate 2.
 Meneja wa Global Publisher akiwana Sinta katika utoaji wa tuzo za Kilimanjro Music Award 2012.
Sinta akimkabidhi Msanii bora wa Rap (Bendi) Khalijo Kitokololo tuzo yake.wa tuzo za Kilimanjro Music Award 2012. Pembeni yake ni Meneja wa Global Publisher.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

1 comments:

  1. nilifurahi sana! mpoki, diamond walinipa raha sana juzi!! big up saana kwa waandaji.

    ReplyDelete