Muigizaji wa Kundi la Komedy, Mjuni a.k.a Mpoki ambaye alikuwa ni mshereshaji wa Tuzo za Kilimanjaro Tanzania. Hakika aliweza kufanya vizuri sana na kuwaacha hoi wageni waliofika katika tuzo hizo.
 Vijana toka Tanzania House of Talent (T.H.T) wakionyesha ujuzi wao wa kucheza.
 ...Hapa ngoma ikiwa imenoga...
 ...chapa mguu juuu
 Muonekano wa Jukwaa.
Wanamitindo Khadija Mwanamboka na Ally Remptula wakimkabidhi tuzo msanii ya wimbo bora wa reggae kundi la Warrior from the East wa  jijini Arusha.
..Taji Liundi (kushoto) akishuhudia msanii wa muziki wa kizazi kipya Queen Darleen akifurahia kupokea tuzo ya wimbo bora wa ragga/dance hall na mwanadada Abby.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Queen Darleen akishukuru kupokea tuzo.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ali Kiba akifurahia kupokea tuzo ya wimbo bora wa zouk/rhumba aliyokabidhiwa na Mtangazaji wa ITV/Redio One Renfred Masako na Mtangazaji wa Clouds Fm Dina Marious.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ali Kiba akifurahia kupokea tuzo ya wimbo bora wa zouk/rhumba pembeni ni dada yake ambaye aliongozana nae.
...Mpoki akimwaga vituko vyake.

Mwanamuziki mkongwe wa taarabu nchini, Bi Shakila akiburudisha.
Wanamuziki wakongwe wa taarabu nchini wakitoa burudani.
Mwanamuziki mkongwe wa taarabu nchini, Patricia Hilali akicheza na kuomba katika tuzo za muziki Tanzania zilizotolewa katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya chenye vionjo vya asili A.T akipokea tuzo ya wimbo bora wenye vionjo vya asili- Vifuu Tundu aliyokabidhiwa na Shelukindo na Angela Damas. 
Msanii wa muziki wa kizazi kipya chenye vionjo vya asili A.T akishukuru mara baada ya kupoea wimbo bora wenye vionjo vya asili- Vifuu Tundu. 
Mwanamuziki mkongwe wa taarabu nchini, Patricia Hilali akimkabidhi  Isha Mashauzi tuzo ya wimbo bora wa taarab- Mamaa Mashauzi.
Komandoo Hamza Kalala (kushoto) na Shamim Mwasha wakisoma mshindi. 
Komandoo Hamza Kalala (kushoto) akishuhudia Mwimbaji wa bendi ya Twanga Pepeta, Luiza Mbutu akipokea tuzo ya wimbo wa kiswahili  (bendi) uitwao Dunia Daraja aliyokabidhiwa na Shamim Mwasha.

Mwimbaji wa bendi ya Twanga Pepeta, Luiza Mbutu akipokea tuzo ya wimbo wa kiswahili  (bendi) uitwao Dunia Daraja.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: