Msanii wa kizazi kipya, kutoka THT Amini hatimaye ameamua kuachana na ukapela kwa kuvuta jiko kimya kimya. harusi hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika Kanisa la Kiinjili la Kirutheli Tanzania, Azania Front jijini Dar es Salaam. Picha hiyo inawaonyesha maharusi wakitoka kanisani kwa nderemo na vifijo.
...Hahahahahahahahahahahahaha
Maharusi wakiingia katika gari lao mara baada ya kufunga pingu za maisha.
Bwana Harusi akifurahia kwa shangwe
...Ilikuwa ni nderemo na vifijo
....
Picha ya ukumbusho kwa wazazi na maharusi
Amini akiwa ametulia na kifaa chake
Tunameremeta
Msanii wa kizazi kipya, kutoka THT Amini akiwa na maiwaifu wake pamoja na msanii mwenzake Ditto.
Bibi harusi akiingia kanisani huku akisaidiwa gauni lake na Ditto.
...Bibi Harusi akitoka kanisani.
...Amini akitoka ndani ya gari ili kuingia kanisani.
...Akisindikiza
...Wanameremeta
...wakijisogeza ndani ya kanisa.
...Taratibu kanisani
...wakijongea kufunga pingu za maisha.
Msanii wa kizazi kipya akimvalisha pete mke wake.
Ni vjana wachache sana wenye kutamani kufikia stage hii na kushikamana kutimiza lengo katika mapenzi kwa kipndi hiki 2lichonacho chenye kundi kubwa la wasanii wa MAPENZI!!
ReplyDeleteDah HONGERENI sana wapendwa nawatakia NDOA NJEMA yenye kila aina ya RAHA!!