CD za Lady Jaydee ambazo zimeingia sokoni.
Lady Jay Dee a.k.a Komando akiwa na mumewe Gadner Habash pamoja na Shear wakati akisaini autograph kwa wateja wake jana katika duka la Shear Illusion lililopo Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Albamu ya Ya 5 The Best Of Lady Jay Dee kwa sasa ipo sokoni.
Wanafamilia wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumpa sapoti mwanadada Lady Jay Dee.
Wana- La Familia.
Wakishow love mara baada ya kazi.
...Aha! Ilikuwa ni raha musitarehe
Hapa ni nje wakizindua tour basi la
Lady Jaydee& Machozi band.
Lady Jaydee& Machozi band Tour bus.
Toa Maoni Yako:
0 comments: