Kwa saa jiji la Dar es Salaam limevamiwa kila sehemu huyu wahusika wakionyesha kufumbia macho hali hii, hapa ni katikati ya jiji eneo la Posta mpya wakionekana wafanyabishara wakiwa wanapanga biashara zao pembeni mwa jengo la Mkapa Tower bila woga wowote. Hapa tunabaki tunajiuliza maswali kichwani kuwa watu hawa inaonyesha kuna viongozi wanaowatuma kufanya haya. Hali hii inasikitisha sana, je wahusika wapo ama wamelala... mbona wanakimbilia kukamata magari yaliyopaki sehemu mbaya huyu kila mmoja sasa ameamua kufungua gulio lake tena sehemu anayotaka mwenyewe????
 Akichambua kwa utaratibu vitu vyake.
 Akisimamia bidhaa zake zipangwe vizuri, hali ambayo wapita njia wamebaki wanashangaa tu.
Mwanamama huyo akimsimamia kijana wake amalize kupanga biashara yao ya nguo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: