Picha yenyewe ilianzia hapa kijana kutoka Clouds Tv kwenye kipindi chake cha Siz Kitaa, Casto Dickson a.k.a mwananchi wa Kawaida akifungua zawadi aliyokuwa amemuandalia mpenzi wake Hanney Mary katika sherehe yake za kuzaliwa iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Ehe~! kumbe zawadi yenyewe ilikuwa ni pete ya uchumba ambayo alimvalisha mpenzi wake kwa heshima na taadhima kwa kupiga magoti.
 Would you marry me??????
YES BABY......watu vigelegeleeeee... Ukitaka kuona picha zaidi bonyeza Dj Choka Blog.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: