Walimu wa shule ya msingi Kawawa jijini Dar es Salaam wakibadirisha mawazo mawili matatu nje ya madarasa kutokana na upungufu wa ofisi za walimu. Shule hii ya msingi ina ukosefu wa madarasa na ofisi za walimu hivyo kusababisha walimu kukaa nje ya madarasa yao wanayofundisha. Hali hii itaisha lini kwa walimu hawa????
Walimu wakijaribu kuchagua samaki kutoka kwa mama muuza ambaye aliwapitishia.
Toa Maoni Yako:
0 comments: