Gari aina ya Fuso Lililo kuwa na Mwendo na kusababisha magari matatu kugongana na Kifo cha Dereva wa Boda boda. Gari aina ya Fuso lenye Namba za Usajili T667 BMG muda mchache Baada ya Ajali Hiyo
Wakiwaokoa majeruhi Muda mchache Baada ya Ajali kutokea
Picha na mdau Sam-Moshi
Toa Maoni Yako:
0 comments: