Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo DK Emanuel Nchimbi amtoa wito kwa viongozi nchini kuacha siasa za chuki, visasi na badala yake wajifunze kuwa na mazoea ya kusamehe pale inapotokea mmoja wao amewakosea.
Akijibu hoja za wabunge waliokuwa wakichangia maoni yao kuhusiana na kuridhia kwa mkataba wa vijana wa kimataifa uliopitishwa jana bungeni mjini Dodoma, DK Nchimbi alisema kwamba serikali haitawasikiliza viongozi wanaopinga wadau wa maendeleo wkutoshirikishwa kwenye maamuzi kwa sababu ya chuki au migongano ya kimasalahi miongoni mwao.
Msikilize Dk Emanuel Nchimbi akitoa majibu kwa maswali...
Msikilize Mheshimiwa Joseph Mbilinyi alivyokuwa akiongea ndipo akafuatia majibu ya Dk Emanuel Nchimbi
Toa Maoni Yako:
0 comments: