Meneja Promotions wa bidhaa ya SweetHeart Crem, Neema Steven akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa bidhaa ya SweetHeart Cream uliofanyika katika maeneo Moroko na Ubungo jijini Dar es Salaam. Alisema bidhaa hiyo inatengenezwa kulingana na mazingira ya Mtanzania na hivyo kumfanya ajiepushe na madhara ya ngozi yanayoweza kumpata kwa kutumia cream zinazoingizwa kutoka nje ya nchi. Aidha aliongeza kuwa bidhaa hizo zinapatikana katika maduka yote pamoja na supermarket zilizopo katika maeneo mbali mbali hapa nchini.
 Vijana wakigawa zawadi za siku za Valentine kwa wateja katika foleni ya barabara ya Ally Hassan Mwinyi jijini Dar es Salaam.
 ...zawadi zilikuwa za kutosha ambazo ziligawiwa na warembo.

  ...Soma mwenyewe ujumbe..

...Hapa walikuwa wakigawa zawadi maeneo ya Ubungo kwenye mataaa.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: