Zaituni akiongea na waandishi wa habari katika uzinduzi wa muonekano mpya wa bidhaa ya Sweetheart Cream inayozalishwa na kampuni ya Chemi & Cotex ya jijini Dar es Salaam. Alisema bidhaa hiyo inatengenezwa kulingana na mazingira ya mtanzania na hivyo kumfanya ajiepushe na madhara ya ngozi yanayoweza kumpata kwa kutumia cream zinazoingizwa kutoka nje ya nchi. Aidha aliongeza kuwa bidhaa hizo zinapatikana katika maduka yote pamoja na supermarket zilizopo katika maeneo mbali mbali hapa nchini.  

Sweetheart Cream ina fleva tano inayohudumia kwa ngozi yeyote ile . Fleva hizo tano ni  Bouquet, Lemon, yenye ladha ya ndimu, Musk, Cocoa Butter na Carrot. 
Sweetheart Cream aina ya Lemon na Musk zikiwa katika muonekano mpya.
Sweetheart Cream aina ya Bouquet na Cocoa Butter zikiwa katika muonekano mpya.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: