Wanafunzi wa jamii ya wafugaji wa kisukuma katika shule ya msingi Siginari wanaoishi katika kitongoji cha Mbaraji tarafa ya Mangula wilaya ya Kilombero, Dotto Lenga (8) kushoto na Sada Njile (8) wanaosoma darasa la pili wakikoboa mahindi kwa kutwanga kwenye kinu kabla ya kutwanga tena ili kupata unga unautumika kwa matumizi mbalimbali ambapo wanafunzi hao wamekuwa wakishiriki kazi ndogo ndogo za kuwasaidia wazazi wao mara baada ya kumaliza masomo ya kutwa mkoani Morogoro. Picha na Juma Mtanda wa Kajunason Blog Morogoro.
Home
Unlabelled
KAZI YA KUKOBOA MAHINDI KATIKA KINU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments: