Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Marehemu Jeremiah Sumari likiwasili katika uwanja wa Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo January 21, 2012 tayari kwa kupewa heshma za mwisho.Rais Kikwete akitoa heshima zake za mwishoRais Kikwete akimpa pole mjane Mama Miriam Sumari.Rais Kikwete akiongoza umati mkubwa wa waombolezaji katika halfa hiyo.Rais Kikwete, Jaji Mkuu Mohamed Chande Othman, Spika Anne Makinda na kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni Mh Freeman Mbowe kwenye hafla hiyo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: