Kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu la Jumuiya ya Wazazi wilaya ya Dodoma mjini imeitaka Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu kufunga matawi yake yaliyoko mikoani kwa kuwa kila mara yanakosa majibu sahihi kuhusu mikopo kwa wanafunzi husika, jambo linalozua migomo isiyokuwa ya lazima.
Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo wilayani humo, MIRAJI MTATURU amewaambia Waandishi wa Habari wakati akitoa tamko la Kamati kilichokaa kikanuni mjini Dodoma.
Toa Maoni Yako:
0 comments: