Katibu Mkuu wa Cuf, Maalim Seif Sharrif Hamad, akihutubia katika 
mkutano wa hadhara kuelezea hatua waliyomchukulia Mbunge 
wa Wawi, Hamad Rashi Mohamed ya kumtimua kwenye chama 
pamoja na baahi ya wajumbe wengine wa baraza Kuu la 
chama hicho. Mkutano huo ulifanyika jana kwenye viwanja 
vya Bakhresa, Manzese Dar es Salaam.
Sehemu ya umati wa wafuasi wa CUF, ukiwa katika mkutano huo
Sehemu ya umati wa wanachama wa Cuf
Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Zanzibar, Ismail Juaa akihutubia 
katika mkutano huo

                        Mbunge wa Jimbo la Lindi Mjini, Baruani (CUF) akihutubia katika mkutano huo. Picha na KAMANDA WA MATUKIO.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: