Polisi wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo wakiwatawanya waandanaji na kufungua barabara ambazo raia walikuwa wamefunga.
Polisi wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo wakiwa katika eneo la tukio kuzuia waandamanaji.
Wananchi wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo wakiwa wamepanga mawe barabarani.
Na mwandishi wa Kajunason Blog, DRC
Huko Jamhuri ya Demokrasia ya Congo-DRC leo kulikuwa na maandamano makubwa katika mji wa Goma unaopakana na mji wa Kivu Kaskazini huko mashariki mwa Congo.
Raia wa mji huo wa Goma walisema hali ya kiusama ni duni kwa raia yakiwemo mauaji na kupotea kwa watu wakibebwa na kupelekwa mahali yasiyo julikana wakati wa usiku.


Toa Maoni Yako:
0 comments: