Mhe. Waziri akimsikiliza Baraka Baraka.
Mhe. Waziri Ngeleja akiongea na watanzania.
Twanga Pepeta wakifanya makamuzi.
---
Baada ya kumaliza mkutano wa uwekezaji na wawekezaji watarajiwa nchini Uingereza Waziri wa Nishati na Madini Mhe. William Ngeleja alipata fursa ya kukutana na Timu ya Urban Pulse Creative Media ili kufanya mahojiano maalum kuhusiana na changamoto na maendeleo ndani ya wizara yake.
Mbali na hapo Mhe. Ngelaja alikutana na Bendi ya Twanga Pepeta mjini London ambayo iliwakutanisha watanzania waliopo London katika kuadhimisha miaka 50 ya uhuru wa Tanzania bara
Mahojiano hayo yatarushwa kwenye luninga muda sio mrefu.

Toa Maoni Yako:
0 comments: