Ilikuwa ni sherehe ya kukumbukwa kuzaliwa kwa mwanadada Flora Gabriel (anayewaisha wageni keki) iliyofanyika Kinondoni jijini Dar es Salaam.
 Wageni wakifurahiaaaaaaaaaa
 ...kila mmoja alikula keki kwa staili yake...
Shemejiiiiiiiiiiiiiiiiiii Ima akipokea keki
 Nae Cathbert A. Kajuna mmiliki wa Blog hii nae aliwakilisha vilivyo na kuwaletea 'Habari na Matukio Live bila chenga. 
  ...niliipenda sana hiii staili
Shangazi akilishwa keki
 ...Mjomba naeeeeeee
Mama mzaa chema akilishwa keki huku pembeni Mkwe wake akiwa amebeba sahani ya keki.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

2 comments:

  1. Ima (The Designer)26 December 2011 at 15:54

    Thank's kaka kwa kufika na kuwakilisha vilivyo.

    ReplyDelete
  2. Naomba mawasiliano na mwenye birthday yake nipo single

    ReplyDelete