Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati akifungua rasmi Mkutano wa 18 wa Hali ya Siasa Tanzania unaofanyika kwa siku mbili katika Ukumbi wa Ubungo Plaza kuhusu Demokrasi na Mageuzi ya Kijamii Tanzania, leo Desemba 16, ulioandaliwa na Taasisi ya REDET.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Wakulima AFP, Said Sud Said, leo
Desemba 16 wakati akiagana na wadau waliohudhuria Mkutano wa 18 wa
hali ya Siasa Tanzania, unaofanyika kwa siku mbili katika Ukumbi wa
Ubungo Plaza kuhusu Demokrasi na Mageuzi ya Kijamii Tanzania,
ulioandaliwa na Taasisi ya REDET.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya
wadau waliohudhuria Mkutano wa 18 wa Hali ya Saiasa, kuhusu Demokrasi
na Mageuzi ya Kijamii Tanzania, ulioandaliwa na Taasisi ya REDET,
ulioanza leo Desemba 16, katika Ukumbi wa Ubungo Plaza kuhusu Demokrasi
na Mageuzi ya Kijamii Tanzania.
Baadhi ya wadau waliohudhuria Mkutano wa 18 wa Hali ya Siasa
Tanzania, wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akihutubia mkutano huo
ulioanza leo Desemba 16, katika Ukumbi wa Ubungo Plaza kuhusu Demokrasi
na Mageuzi ya Kijamii Tanzania, ulioandaliwa na Taasisi ya REDET.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya
wadau waliohudhuria Mkutano wa 18 wa Hali ya Saiasa, kuhusu Demokrasi
na Mageuzi ya Kijamii Tanzania, ulioandaliwa na Taasisi ya REDET,
ulioanza leo Desemba 16, katika Ukumbi wa Ubungo Plaza kuhusu Demokrasi
na Mageuzi ya Kijamii Tanzania.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya
wadau waliohudhuria Mkutano wa 18 wa Hali ya Saiasa, kuhusu Demokrasi
na Mageuzi ya Kijamii Tanzania, ulioandaliwa na Taasisi ya REDET,
ulioanza leo Desemba 16, katika Ukumbi wa Ubungo Plaza kuhusu Demokrasi
na Mageuzi ya Kijamii Tanzania.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha za pamoja na baadhi ya
wadau waliohudhuria Mkutano wa 18 wa Hali ya Siasa, kuhusu Demokrasi
na Mageuzi ya Kijamii Tanzania, ulioandaliwa na Taasisi ya REDET,
ulioanza leo Desemba 16, katika Ukumbi wa Ubungo Plaza kuhusu Demokrasi
na Mageuzi ya Kijamii Tanzania.
Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Toa Maoni Yako:
0 comments: