Hapa ni eneo la Afrikana, Mbezi jijini Dar es Salaam.
Eneo Mbuyuni, Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.
Hapa ni eneo la Tegeta darajani angalia foleni yake ambayo inasababishwa na kukosekana kwa kituo cha mabasi jambo ambalo linawafanya watu wahangaike katika foleni kwa muda wa nusu saa mpaka saa moja.
Toa Maoni Yako:
0 comments: