Haya tuimbe na kuchezaaaaaaaaaaaaaaa.


Kwaya ikiburudisha katika tamasha la Campus Night lililofanyika Viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam. 
 Mshereheshaji wa tamasha la Campus Night, Harris Kapiga akiwakaribisha wageni kuingia katika viwanja vya Leaders Club kuhudhiria tamasha hili linalofanyika usiku huu.
 Vijana kutoka nchini Uganda wanaoimba nyimbo za gospel hip hop wakiwasha moto.
Umati wa wanafunzi wa vyuo vikuu kutoka pande zote za Dar es Salaam pamoja na mikoa jirani waliwza kuhudhuria.
Umati wa wanafunzi wa vyuo vikuu kutoka pande zote za Dar es Salaam pamoja na mikoa jirani waliwza kuhudhuria.


Haya twendeeeeeeeeee kwa Yesu kunafuraha tujiachie
Kwaya maalum iliyokuwepo hapo ikijiachia kwa kuimba


 Washereheshaji wa tamasha hilo ambao wamevaa t-shirt nyeupe, Harris Kapiga (kushoto) na Msami waakiongea na watu  waliohudhuria tamasha hilo.
 Wanakwaya wakijiachia na kidukuuuu
 ...hapa walikuwa wakiimba kwa hisia
....umati wa watu ukiselebuka sambamba na wanakwaya.
 Meza ya wageni waalikwa ikiimba wimbo wa Taifa, (katikati mweye suti nyeusi) ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe akiwa na mwenyeji wake Mchungaji wa Kanisa la Kiroho la Victory Christian Center (VCC), Huruma Nkone (kulia kwake) wakiwa na wageni wengine kutoka mataifa mbali mbali waliohudhuria tamasha hilo.
 Wanachuo wakiserebuka...
 ....wanachuo walikuwa wakiwa kwa makini kujiandaa kuserebuka
 ...Wakibiga makofi kwa furahaaa
 Mgeni rasmi na wageni wengine waalikwa kutoka pande mbali mbali wakipiga makofi kwa furaha
 hapa ulikuwa ukiimbwa wimbo wa uzalendo; Tanzania, Tanzania nakupenda kwa moyo wote...
Nchi yangu Tanzania jina lako ni tamu sanaaaa... Nilalapo nakuota wewe...
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: