Mwanamuziki Kala Pina kutoka kikosi cha mizinga (block 41).
Mwanamuziki wa Hip Hop Jay Moe akisema famous.
Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Mansoul akiwasha moto.
Kila mmoja alipata mzuka wa kucheza.
Kwa raha zetu.
Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
---
SHOO ya Inter College Bash iliyokuwa inahusisha vichwa makini kutoka nchini Marekani na hapa Bongo, usiku wa kuamkia leo ilifana vilivyo katika viwanja vya Leaders Kinondoni jijini Dar es Salaam, ambapo Fabolous aliweza kupiga shoo iliyochukua zaidi ya dakika 30 wakati wazawa wakitumia zaidi ya saa nane. Mbali na Fabolous ambaye ilikuwa kawaida kwake kufanya vizuri, wasanii wa Bongo waliosisimua mioyo ya mashabiki wao ni Juma Kassim ‘Juma Nature’ na kundi zima la Wanaume Halisi, Seleman Msindi ‘Afande Sele’, Wanaume Family, Haroun Kahena ‘Inspector Haroun’ akiongoza kundi zima la Gangwe Mob. Wengine ni Hamisi Mwinjuma ‘Mwana FA’, Jay More, Nako 2 Nako, Joe Makini , Niki wa Pili, Elias Barnaba, Manzese Crew, Kikosi cha Mizinga kikiongozwa na Kala Pina na THT Dances.

Toa Maoni Yako:
0 comments: