Meza kuu ilivyokuwa katika sherehe ya kumuaga Mkuu wa Mkoa mstaafu wa Kagera Mpya Mhe. Mohamed Babu (wa pili kutoka kushoto) na kushoto wake ni mke wake na anayemfuatia kulia ni Mkuu wa mkoa Mpya Mhe. Kanali Mstaafu Fabian Masawe.
Mkuu wa mkoa wa Kagera Mhe. Kanali Mstaafu Fabian Masawe akiwa na mkewe.
Mkuu wa Mkoa mstaafu wa Kagera Mpya Mhe. Mohamed Babu (wa kwanza kulia) akiwa na mke wake.
Meya wa manispaa ya Kagera Bw. Anatory Amani nae alikuwapo.
Ndugu, jamaa na marafiki nao walikuwepo katika sherehe hiyo.
Ilikuwa ni furaha kama unavyoona mwenyewe, Mama Mohamed Babu akijiandaa kumlisha mumewe Mkuu wa Mkoa mstaafu Mhe. Mohamed. ''Alisikika akisema acha aibu my husband njoo nikulishe"
Mkuu wa mkoa Mpya Mhe. Kanali Mstaafu Fabian Masawe akikata keki na mkewe.
Mkuu wa mkoa Mpya Mhe. Kanali Mstaafu Fabian Masawe akimlisha keki.
Mkuu wa mkoa mstaafu Mohamed Babu pamoja na mkewe wakimkabidhi keki Mkuu wa mkoa Mpya Mhe. Kanali Mstaafu Fabian Masawe.

Habari na Picha kwa hisani ya Bukobawadau Blog.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: