Wakiwa na nyuso za furaha Bi. Ester Ulaya Cathbert akimpakulia Abdul chakula.
Othman Michuzi, Mage pamoja na Rachel ambaye anapakua chakula wakiwa katika wakati muafaka wa msosi.
Veila Nkya akipakua chakula
Wageni wakifurahia chakula kutoka kulia ni Veila, Kimmly, Hilda pamoja na Mage
Hapa mwendo ulikuwa ni kuzungumza na sahani yako kutoka kulia ni Rachel, Rehema Bavuma (mke wa Ally Jamal), Vaileth pamoja na Faraji.
Kutoka kulia ni Imani, Chaoga, Abdul, Jacob pamoja na Veila wakati wakipakua chakula.
Utani wa hapa na pale ulikuwa ukiendeleaaaaaaaaaaa
Wageni wakipacha chakulaaaaaaaaaa kutoka kulia ni Chaoga, Abdul, Imani pamoja na Peter Lema.
Hapa Ally Jamal (katikati) akiwapa storiiiiiiiiiii wenzake
Maongezi ya hapa na paleeeee yalikuwa yakiendelea kwa upande wa wadadaaaa huku wakiandaa vitu.
Mama mwenyeeeeee nyumba alikuwa akiandaa vitu vyakeee kwa ajili ya wageni
Utambulisho wa hapa na paleeee ulikuwa ukiendeleaaa
Tunapenda kuwashukuru sana wageni wote ambao mliofika nyumbani na hata wale ambao hamkuweza kufika kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wao kwa ajili ya kupata chakula cha jioni pamoja nasi. Mwenyezi Mungu awabariki sana.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

2 comments:

  1. Hawa kina mage na esther walisoma nganza?Na reheme Bavuma alisoma Kowak?

    ReplyDelete
  2. YANI NIMESIKITIKA SANA KUKOSA HUU MNUSO WA BATA MZINGA NILIPATWA NA DHARURA NIKAWA HOSP JIONI NZIMA MPAKA USIKU SANA NDO NIKARUDI.HAPPY FOR U GUYS NA ASANTENI SANA KWA KUTUALIKA.MBARIKIWE SANA.

    ReplyDelete