Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohammed Shein, kulia akisalimiana na Mwandishi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi hapa nchini ambaye pia ni Afisa Uhusuano wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Inspekta Mohammed Rama Mhina, (kushoto) mara baada ya mkutano wake na Wahariri uliofanyika Ikulu mjini Zanzibar, Alhamisi Oktoba 3, 2011. Dk. Shein alikuwa akielezea mafanikio yaliyofikiwa na Serikali yake katika kipindi cha mwaka mmoja tangu alipoteuliwa kuwa Raisi wa Zanzibar Oktoba mwaka 2010.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohammed Shein, akiwa katika Picha ya pamoja na Wahariri wa Vyombo mbalimbali vya Habari hapa nchini walipokutana Ikulu mjini Zanzibar Alhamisi Oktoba 3, 2011. Dk. Shein alikuwa akielezea mafanikio yaliyofikiwa na Serikali yake katika kipindi cha mwaka mmoja tangu alipoteuliwa kuwa Raisi wa Zanzibar Oktoba mwaka 2010.
(Picha zote na Ramadhan Othman Abdalla, Mpiga Picha wa Rais wa Zanzibar)
Toa Maoni Yako:
0 comments: