Hapa ndiyo mwanzo wa mbio za pikipiki ndiyo ulipokuwa unaanziaaaaaaaaaaaaa
Achia rahaaaaaaaaaaa
Utamu wa pikipiki ndipo ulipokuwa unaanzaaa
Ehe! raha raha
Hapa hata mzee wa habari na matukio na yeye alitokea eneo la tukio na kuonyesha ujuzi
Mdogo mdogoooooooo yani speed 40 tu japo sikuwa kimchezo zaidi
Mchezo ndiyooooo umenogaa
  
Nipae nisipaeeeeeeeeeeeee hapa speed 60

 Ilikuwa ni mshike mshike...

Twendeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Umati wa watu nao ulijitokeza kwa nguvu





 Ngoma inogileeeeeeeeeee
 Hapa mtaalamu akiongea mawili matatu
Mashindano haya ya pikipiki hufanyika pale kila jumapili katika uwanja wa Tanganyika Peckas, Kawe jijini Dar
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: