Wafanyakazi wa wizara ya Katiba na Sheria wakiwa katika maadhimisho ya wiki ya katiba na sheria kuelekea maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru yaliyofanyika Viwanja vya mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Brass Bendi wakitumbuiza katika maadhimisho hayo.
Afisa Masoko, Christina Jonson akiwa na Allan Stephano kutoka Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) wakiwaelezea wateja waliofika katika maadhimisho ya wizara ya Katiba na Sheria wakiwa katika ya wiki ya katiba na sheria kuelekea maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru.
Watu waliotembelea banda la Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) katika maadhimisho ya wiki ya katiba na sheria kuelekea maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru.
Karani Msajili wa Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) akiwaelezea wateja waliofika katika banda lao katika maadhimisho ya wiki ya katiba na sheria kuelekea maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru.
Watu wakiwa katika banda la Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora katika maadhimisho ya wiki ya katiba na sheria kuelekea maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru.
Mtoa Elimu wa banda la Tume ya Haki za Binadamu Fatuma Salum aliwaelezea wateja waliojitokeza kutembelea katika maadhimisho ya wiki ya katiba na sheria kuelekea maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru.
Afisa Ugavi  kutoka katika Mahakama ya Rifaa Tanzania Bi.Scholastica Majinge aliwaelezea wateja waliojitokeza katika banda la Mahakama Kuu ikiwa ni katika maadhimisho ya wiki ya katiba na sheria kuelekea maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru.
 Afisa kutoka Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto-Tanga  Bw. Datius John akifanya majadiliano na wananchi waliotembelea katika banda laTume ya Haki za Binadamu ikiwa ni katika maadhimisho ya wiki ya katiba na sheria kuelekea maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru.
Watu waliotembelea banda la RITA katika maadhimisho ya wiki ya katiba na sheria kuelekea maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru.

 Brass Bendi wakitumbuiza katika maadhimisho hayo.
Maandamano ya wafanyakazi wa Wizara ya Katiba na Sheria wakipita mbele ya mgeni rasmi.
Wafanyakazi wa Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA)wakipita mbele ya mgeni rasmi.
Wafanyakazi wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto-Tanga wakipita mbele ya mgeni rasmi.
Wafanyakazi wa Ofisi ya Mwanasheria wa Serikali wakipita mbele ya mgeni rasmi.
Mgeni rasmi katika maadhimisho ya wiki ya katiba na sheria kuelekea maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru Mheshimiwa Jaji Kiongozi Fakih Jundu (katikati mwenye t-shirt ya blue) akipiga makofi wakati akipokea maandamano ya wafanyakazi wa Wizara ya sheria na Katiba yaliyofanyika Viwanja vya Mnazi Mmoja. Kutoka ulia kwake ni Jaji Mfawidhi wa mahakama ya Ardhi Bi. Regina Rweyemamu pembeni mwa mgeni rasmi ni Jaji Wambura.
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Sheria na Katiba Bi. Christina Sonyi ambaye alimwakilisha Waziri wa Wizara hiyo akitoa maneno machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi.
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Sheria na Katiba Bi. Christina Sonyi ambaye alimwailisha Waziri wa Wizara hiyo akitoa maneno machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi.
Wafanyakazi wa Ofisi ya Mwanasheria wa Serikali wakimsikiliza mgeni rasmi.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: