Wenye umri wa miaka 11 hadi 20 (wakiwemo wenye ulemavu mbalimbali) wenye Vipaji katika
- kumuimbia Mungu
- kuhubiri, kupiga ala za muziki (keyboard), kuchekesha, kuigiza, kuchora
- kupiga ngoma, kuandika/kusimulia hadithi fupi,
- kuandika insha,kucheza (dancing show), kuigiza, kukariri na kusema mistari ya Biblia

Kwa waandishi wa insha na hadithi fupi mada zitakuwa.....

1. Utumikishwaji kazi watoto Washiriki darasa la 5 na 6
2. Utumiaji wa dawa za kulevya Kidato cha 3 na 4
3. Mazingira au rushwa Kidato cha 5 na 6
4. Miaka 50 ya uhuru Wanafunzi wa vyuo

USAHILI UTAFANYIKA
Tarehe- 26/11/2011
Muda SAA 9:00 asubuhi mpaka 1:30 mchana.
Mahari- MBEZI BEACH PARK MKABALA NA KITUO CHA MAFUTA CHA BP

“MLEE MTOTO KATIKA NJIA IMPASAYO NAYE HATAIACHA HATA ATAKAPOKUWA MZEE” Mithali 22:6
NB;Kwa wenye miaka 20 mpaka 25 wataruhusiwa kushiriki.

wasiliana nasi -0688/715/754-366523
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: