Msimamizi mkuu wa Vipindi wa radio Clouds Fm Bw.Sebastian Maganga (kushoto) akijadilia jambo na madokta waliokuwa wakisimamia programe hiyo ya utoaji wa Damu iliyofanyika katika hospitali ya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
 Ujumbe.
 Watu waliojitokeza katika utoaji wa damu wakijaribu kupewa ushauri na wataalamu kabla ya zoezi la utoaji wa damu.
 ....Hapa alikuwa aipimwa damu kuona kama inatosha kwa kutoa.
 Zoezi la utoaji wa Damu likiendelea.
 Zoezi la utoaji wa Damu likiendelea.
 Baadhi ya wafanyakazi wa Clouds Fm waliojitokeza katia zoezi la utoaji wa damu wakipata maelezo kabla ya utoaji wa damu.
Madokta waliokuwa wakisimamia programe hiyo ya utoaji wa Damu wakijadiliana jambo katika hospitali ya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
 Mmoja ya madokta ambaye alikuwa akifanya zoezi la kusahauri kabla ya kupima akifanya mahojiano na Clouds Tv.
 Majadiliano ya hapa na pale yalikuwa yakiendelea
Vijana wengi walijitokeza katika zoezi la utoaji wa damu
Dokta Isack ambaye ni Mtangazani wa Clouds Fm katika kipindi cha njia panda akifanya kipindi chake 'live' kutoka katika enelo la tukio, hapo hospitali ya Mnazo Mmoja jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na Kajunason Blog
Msimamizi mkuu wa Vipindi wa radio Clouds Fm Bw.Sebastian Maganga alisema kuwa suala ya uchangiaji wa damu lazima lipewe kipaumbele kwa vile jamii inauhitaji sana wa kuongezewa damu mara kwa mara ni pamoja na Watoto chini ya miaka mitano, majeruhi wa ajali mbalimbali na kina mama wajawazito.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: