Wakiwa na nyuso za furaha ni Bw. Emmanuel na Bi. Hope wakati wakifunga pingu za maisha katika KKKT-Kijitonyama jijini Dar es Salaam. Pembeni ni wapambe wao Michael Nkya na mkewe Caroline.
Bw. Emmanuel akimvalisha pete mkewe Bi. Hope wakati wakifunga
pingu za maisha katika KKKT-Kijitonyama jijini Dar es Salaam.

Bw. Emmanuel na Bi. Hope wakiwa na nyuso za furaha baada ya kufunga pingu za maisha katika KKKT-Kijitonyama jijini Dar es Salaam.
Bibi harusi Hope akiwa na mpambe wake Caroline baada ya kufunga pingu za maisha katika KKKT-Kijitonyama jijini Dar es Salaam na kufuatiwa na sherehe ya kuwapongeza iliyofanyika Lugalo Barracks Social Hall. Endelea kufuatilia nitakuletea picha za ukumbuni. Asante sana...na hongereni.
Toa Maoni Yako:
0 comments: